Vibaya-文本歌词

Vibaya-文本歌词

发行日期:

Nimeamini kama ukweli Ila imani nimepoteza Kanidanganya na nikafeli Uku usoni akinibeza Kumbe akiwa na marafiki zake Ananiita chawa Moyoni mwangu bado najipa kwake Kumbe hatuko sawa Kumbe ni tofauti na fikra zake Kanipa ubaya (aanhaa) Na mimi bora nife kwa ajili yake Niko radhi sawa (aanhaa) Ameniliza mie vibaya (vibaya vibaya aah) Mapenzi yanauma vibaya (vibaya vibaya aah) Bado napita na mbele sioni Kipenzi machoni Napeta mchele mwiko sioni Na niko jikoni Upendo umeufanya bilinge bilinge Nimesimama kituoni Nikalisoma na jarida la kiingereza Kujitetea usoni Hhuuuh babe babe Umeniumiza vibaya (uwoouwoh) Aah hhuuh babe mumy Naiona hasara (ouuwoooh) Kumbe akiwa na marafiki zake Ananiita chawa Moyoni mwangu bado najipa kwake Kumbe hatuko sawa Kumbe ni tofauti na fikra zake Kanipa ubaya (aanhaa) Na mimi bora nife kwa ajili yake Niko radhi sawa (aanhaa)