Hehehehe
Naih on the beat
Call me pahture aaanh ah
Pahture aaanh
Ukweli mwanzo walinicheka
I swear dear ilivyo tokea we kusepa
Now movie imeanza upya bado tu nadeka
Shuu lime washuka shuu nawacheka
Utamu wangu huwezi nitenda
Na tena wachambe wanao tusimanga
Kila wakijaribu pakazia mate
Waonyeshe movie lenyewe sio trailer
Penzi letu lime jaa more
Kwa godown ngumu kosa Salio
Mapema nikupeleke kwa mother
So ujiwahi mamy yooh
Nilizoea hadi siku kuu
Ndo ninywe soda umebadilisha hiyo
Nilipo dondoka umekuja
Niokota unanipa bila kikomo
Ila nimejua huwezi nitenda now
Huwezi nitenda aaah yeah
Huwezi nitenda my dear
Huwezi nitenda my dear
Coz me una nipenda now
Unanipenda wewe
Huwezi nitenda my dear
Huwezi nitenda my dear (ooh dear)
That day ulinifanyia faida
Yangu siwezi elezea big matter
Usiende mbali you go be my wife mwaka
Huu nakufungia ndani mamy loo
Nikuite nani mama sita
Au jolie sa uzuri wa senorita
Ume jazwa udongo
Yani mpaka unamwagika
Nyama nyama nyingi kutembea
Unaona shida (shida ah ouh uh)
Penzi letu lime jaa more
Kwa godown ngumu kosa Salio
Mapema nikupeleke kwa mother
So ujiwahi mamy yooh
Nilizoea hadi siku kuu
Ndo ninywe soda umebadilisha hiyo
Nilipo dondoka umekuja
Niokota unanipa bila kikomo
Ila nimejua huwezi nitenda now
Huwezi nitenda aaah yeah
Huwezi nitenda my dear
Huwezi nitenda my dear
Coz me una nipenda now
Unanipenda wewe
Huwezi nitenda my dear
Huwezi nitenda my dear (ooh dear)
Wago ooh
Samyleshma ooh oh
Hophama
Hophama music