Eyabidile-文本歌词

Eyabidile-文本歌词

Jupiter & Okwess
发行日期:

Ah ah ah ,Ah ah ah

Yeye ndiye chembe huu ya mchanga,

Na yeye tone hilo la maji

Na bado

Les Invisibles aux yeux du monde

Et pourtant bien cachés dans l'ombre

Importants

Chacun de nous vivra sa vie

Une larme au cœur de l'océan

Un grain de sable dans le vent

importants

Et pourtant

Wote wawili katika uvuli wa utukufu, Usioonekana kwa macho ya Ulimwengu.

Na bado...

Kutoka juu ya mwamba wako

Macho yako yamepotea kuelekea mstari huu usio na mwisho

Ambayo inaitwa upeo wa macho

Kati yake na wewe, bahari isiyo na mwisho

Je ! unajua ni matone mangapi yanatikiswa vilindini kukupa *tamasha* huu?

Juu ya roketi yako

Unatafakari ukuu wa Sahara

Je, unajua ni chembe ngapi za mchanga Inafanya kazi kutengeneza matuta yanayo badilika-

badilika kwenye mwangaza wa mwezi?

Ah ah ah, Ah ah ah

Yeye ndiye chembe huu ya mchanga

Na yeye tone hilo la maji

Wote wawili katika uvuli wa utukufu, Usioonekana kwa macho ya Ulimwengu

Na bado...

Les Invisibles aux yeux du monde

Et pourtant bien cachés dans l'ombre

Importants

Chacun de nous vivra sa vie

Une larme au cœur de l'océan

Un grain de sable dans le vent

Importants

Et pourtant